Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
Hilo ni kanisa la washarika na limejengwa kwa nguvu,jasho na pesa za washarika.Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
Acha ufarisayo wako! vile visu na ngumi ambazo huwa zinapigwa miskitini wakati wa mgawo sadaka huwa zinatoka wapi kama msikiti ni mwenyezi Mungu?Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
Kumkataa pekeee haitoshi ilifaa afukuzwe na kutengwa kabisa, inawezekanaje ashiriki na wapuuzi nayeye akijifanya sio mpuuzi. Aaachane na wapuuzi na aendelee na welevu wake hukohuko dodoma.
Acha ufarisayo wako! vile visu na ngumi ambazo huwa zinapigwa miskitini wakati wa mgawo sadaka huwa zinatoka wapi kama msikiti ni mwenyezi Mungu?
Mwenyezi Mungu ndie mtoa riziki ndogo ndogo na kubwa kubwa ambazo waumini huzitumia kujenga misikiti ambayo milele inabakia ya mwenyezi mungu mtoa riziki.
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
Mwenyezi Mungu ndie mtoa riziki ndogo ndogo na kubwa kubwa ambazo waumini huzitumia kujenga misikiti ambayo milele inabakia ya mwenyezi mungu mtoa riziki.
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
Inaelekea sasa wazee wa serkali tatu mmechanganyikiwa. mzee wa spidi mnataka hata kumla nyama. KKKT hawezi kutengwa mtu kwa sababu ya BMK. labda kama hao maaskofu wa waraka ni wa ukawa.Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
Hilo ni kanisa la washarika na limejengwa kwa nguvu,jasho na pesa za washarika.
Sitta aende akafungue kanisa lake yeye na mkewe!!!