Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.Kwenye hili la kutaka kushinda kwa namna yeyote 100% ya watu wote wanaochaguliwa bila kujali matakwa ya wananchi ina nia gani kwa taifa. Kwa sasa Tanzania bunge linapitisha chochote watakacho serikali, wana uongozi wote mpaka wilayani kwa 100%. Sasa jiulizeni ni yapi mapya ambayo wanatafuta?
Kivipi kama mchezaji atakuwa yeye peke ake? Na kivipi uite ushindi wakati timu haikuwa na mpinzanu yoyote.Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
Mheshimiwa mkapa analo jibu sahihi hapa, huenda ni mpango uliopangwa muda mrefu ulikuwa unasubiri tu wakati mpango utimie.Ndugu yangu haukumbuki kauli ya Nkamia?Bunge la miaka saba?unafikiri wanafanya kwa bahati mbaya haya???kwa maelekezo ya kagame!!!
Kila mchezo unakuwa na rules of the game, kama sheria inasema, no show au ukitia mpira kwapani, timu iliyobaki inapewa point mbili za ushindi wa mezani.Kivipi kama mchezaji atakuwa yeye peke ake? Na kivipi uite ushindi wakati timu haikuwa na mpinzanu yoyote.
Mchezaji mmoja akivunja hizo rules, mchezo unaendelea ili iweje. Kama ushindi ulikuwa mtamu mbona wameshindwa kuwarudishia mihuri wenyeviti wa vijiji?Kila mchezo unakuwa na rules of the game, kama sheria inasema, no show au ukitia mpira kwapani, timu iliyobaki inapewa point mbili za ushindi wa mezani.
P
Kipenga cha mwisho kikishapulizwa, ndio mwishowa mchezo mshindi anatwaa kombe, the winner takes it all, the loser standing small, sasa kama mshindi atasherehekea ua laa, haijalishi.Mchezaji mmoja akivunja hizo rules, mchezo unaendelea ili iweje. Kama ushindi ulikuwa mtamu mbona wameshindwa kuwarudishia mihuri wenyeviti wa vijiji?
Wewe jamaa sometimes ni zaidi ya kinyesiMkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
Mkuu Omari Lundo la Kinyesi, if this makes you happy, be happy!.Wewe jamaa sometimes ni zaidi ya kinyesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
Tume ya Uchaguzi NEC ni Tume Huru ila sio shirikishi.Mayalla ni wewe kweli au umedukuliwa? Ok ccm inapendwa sana kwa nini wanaiogopa tume huru ya uchaguzi badala yake wanang'ang'ania tume ya uchafuzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bw. Mayala naona tumbo lako linataka kuzidi akili uliyonayo.Tume ya Uchaguzi NEC ni Tume Huru ila sio shirikishi.
P
Tokea nianze kusoma maandiko yako mbali mbali hapa JF, sijawahi kukusoma kama nilivyokusoma leo.Kama kawaida yetu Watanzania tuna utamaduni wa kushabikia tu kila kitu na kwenda na upepo. Lakini kuna wakati mwingine ni lazima tujiulize ili kunusuru taifa. Sio kila lifanyikalo ni kwa manufaa ya taifa kuna mengi sana ambayo viongozi wanafanya kwa manufaa yao kuonesha wenyewe ni miungu.
Kwenye hili la kutaka kushinda kwa namna yeyote 100% ya watu wote wanaochaguliwa bila kujali matakwa ya wananchi ina nia gani kwa taifa. Kwa sasa Tanzania bunge linapitisha chochote watakacho serikali, wana uongozi wote mpaka wilayani kwa 100%. Sasa jiulizeni ni yapi mapya ambayo wanatafuta?
Kwa mtazamo wa haraka haraka wanatafuta wakati ambako hata wabunge wa chama tawala kunyamazishwa. Kamati zote za bunge na CAG kunyamazishwa kabisa.
Vilevile kutafuta njia kunyamazisha hata mitandao iliyopo lakini kuwe na ubadilishaji wa sheria bila watu kujua.
Sasa kabla ya kushabikia kila kitu jiulize: Baada ya Magu kuondoka, tumeshaona muda ulivyo mfupi. Je, tukipata mtu mbinafsi itakuwaje? Mjue hii miradi mikubwa haijafika hata nusu na Magu ataondoka bila kumaliza? Treni hadi Dodoma bado; sasa itafika lini Kigoma?
Mradi wa umeme bwawa ndiyo wanasafisha njia itachukuwa miaka mingapi kuwa umeme?
Vilevile kuna uwezekano kabisa nia ya Magu ni kuwa na Bunge la kumuongezea muda madarakani kwa kisingizio cha miradi kutokukamilika na kutokuwaamini viongozi wengine.
Na kwasababu kutakuwa hakuna upinzani atasema sasa nani atazungumza kukitokea rushwa? Hivyo nia ni kuweka bunge lisiloaminika kwa wananchi na kubaki na serikali kuu pekee kama muhula mmoja tu.
Kwenye huo muhula mmoja nao wakumwamini awe mtu mmoja tu ambaye ni Rais. Sasa hivi wanatafuta mbinu za kuzuia mitandao kama hii ili Watanzania wasijue lolote.
Hata mimi zamani nilikuwa simwelewi ila Sasa nimeshamuelewa. Ukikutana na comment yake isiyo na uhalisia jua ana mainisha kinyume chake.
Ukishazoea vya kunyonga kuchinja kwa ibada ni kupoteza muda.Kama kawaida yetu Watanzania tuna utamaduni wa kushabikia tu kila kitu na kwenda na upepo. Lakini kuna wakati mwingine ni lazima tujiulize ili kunusuru taifa. Sio kila lifanyikalo ni kwa manufaa ya taifa kuna mengi sana ambayo viongozi wanafanya kwa manufaa yao kuonesha wenyewe ni miungu.