Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Sijaelewa bado uhusiano wa title na hii picha mkuu.
Jamaa kapata wafuasi hiki chama makao makuu yake lazima yawe Hospital maarufu pole Dodoma.
JamiiForumsHizi ndo zinaitwa multiple ID MKE WAKO na Deogratius Kisandu !!!!
Huyu "Kisandu(ku)"...kama jina lake lilivo,Wamefanana
Ni chama kipya au? Kwa nini usijiunge na mzalendo zitto