Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
Binafsi ni mseminari wa zamaaani hapa Iringa. Naomba kukili wazi kuwa waseminari wengi ni walevi au wanywaji wa vileo sana! Nimejaribu kufanya utafiti mdogo, wengi wa rafiki zangu ni full ulabu. Wengi pia wanapenda totozi sana. Hata wenye ndoa wanapitia michepuko sana. Pale seminarini nakumbuka nikiwa mdogo miaka ile, tuliwaogopa sana wadada ila baada ya kuhitimu kwa maksi kali mtaani full ulabu/ulanzi na wadada tu!
Fundisho: Ulevi noma, michepuko sio dili, baki njia kuu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Fundisho: Ulevi noma, michepuko sio dili, baki njia kuu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums