Naomba mnieleweshe kuna tofauti gani kati ya Shia na suffi.
Pia inakuaje muislamu anakuwa Shia au Sunni mf.wakristo Mara nyingi kuwa RC,Anglican au mlutheri inatokana na kurithi kutoka kwa wazazi.
Naomba mnieleweshe kuna tofauti gani kati ya Shia na suffi.
Pia inakuaje muislamu anakuwa Shia au Sunni mf.wakristo Mara nyingi kuwa RC,Anglican au mlutheri inatokana na kurithi kutoka kwa wazazi.
Kwahiyo mashia ni kundi na hao masufy ni kundi tofauti zipo na yapo makundi mengine mf makhawarij ,maibadhy mahajawira ,matabligh maqadiani ,hizb tahrir na makundi mengi mengi na kila watu wa itikadi zao na pia baadhi ya itikadi za makundi mengine utazikuta kwenye kundi lingine