Huwa nawashangaa sana Waislamu na mitazamo yao kuhusu Marekani wengi ni wanafiki

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Ukiwakuta waislam wanavyopiga soga hapa mtandaoni unaweza kusema Nchi za Bara la ulaya na Marekani sio watu wazuri.

Ila ukimwambia mwislam chagua Upate visa ya Saudi Arabia au Upate ya Marekani 99% watakwambia ni heri tuende ulaya au Marekani ushahidi upo ubalozini huko namna visa zinavyogombaniwa na idadi ya waislam wanaozamia ulaya kwa kasi ya 4g.

Mabinti wa kiislam na vijana wengi wanaoenda Saudia kutafuta maisha wengi wanarudi vilema wengine wanauliwa kabisa ila walioingia nchi za ulaya wanarudi na maendeleo ushahidi wenye ndugu huko mnao.

Mitandao inayotumika kupiga soga kuwa Wazungu ni wabaya imetengenezwa na hao hao wazungu, kuacha kuitumia hawawezi ukiwafungia siku moja wanaumwa.

Saudi arabia ambayo ndio Icon ya uislam inalindwa na mmarekani.
 
Kuna shida kwenye hii dini, imejengeka kwa kuwalaumu wengine.
 
Marekani sio watu wazuri.
20230515_073833.jpg
 
Ukiwakuta waislam wanavyopiga soga hapa mtandaoni unaweza kusema Nchi za Bara la ulaya na Marekani sio watu wazuri.

Ila ukimwambia mwislam chagua Upate visa ya Saudi Arabia au Upate ya Marekani 99% watakwambia ni heri tuende ulaya au Marekani ushahidi upo ubalozini huko namna visa zinavyogombaniwa na idadi ya waislam wanaozamia ulaya kwa kasi ya 4g.

Mabinti wa kiislam na vijana wengi wanaoenda Saudia kutafuta maisha wengi wanarudi vilema wengine wanauliwa kabisa ila walioingia nchi za ulaya wanarudi na maendeleo ushahidi wenye ndugu huko mnao.

Mitandao inayotumika kupiga soga kuwa Wazungu ni wabaya imetengenezwa na hao hao wazungu, kuacha kuitumia hawawezi ukiwafungia siku moja wanaumwa.

Saudi arabia ambayo ndio Icon ya uislam inalindwa na mmarekani.

Umasikini ni kitu kibaya sana
Mtu aliye masikini ni vigumu sana kusimamia msimamo wake uwe wa kisiasa au Kidini hata kama ni wa haki.
Ulichoandika au kinachotendeka sasa, ni kutokana na umasikini wa waafrika uliosababishwa na Wazungu kuitawala Afrika kwa kuvuruga tawala zetu na kuiba raslimali zetu na wala sio mapenzi/matakwa ya waislam/wakristo (Waafrika)
 
Marko 4:25

25 Kwa maana aliye na kitu ataongezewa, na asiye na kitu atanyang’anywa hata kile kidogo alicho nacho.”
 
Wazungu c watu wazuri,kwenye hiii Dunia hakuna mwenye roho nzuri Kila mtu ni predator,ukiwa swala utaliwa nyama
 
Mtanzania kafa huko Marekani alikuwa mtumishi wa google ,wewe umekaa unapiga soga.
Mtu ambaye kapeleka silaha watoto wauliwe ,leo anajifanya anatoa msaada
 
Umasikini ni kitu kibaya sana
Mtu aliye masikini ni vigumu sana kusimamia msimamo wake uwe wa kisiasa au Kidini hata kama ni wa haki.
Ulichoandika au kinachotendeka sasa, ni kutokana na umasikini wa waafrika uliosababishwa na Wazungu kuitawala Afrika kwa kuvuruga tawala zetu na kuiba raslimali zetu na wala sio mapenzi/matakwa ya waislam/wakristo (Waafrika)
Mtu kama huyo ni Muafrica mjinga kabisa , hajui lolote huki Marekani anaishi kama digidigi
 
Kwa uelewa wangu kwa karne kadhaa dunia hii inaongozwa na wapagani. Kazi kuu ya wapagani kuwafanya wakristo wasiwe wakristo na Waislamu wasiwe waislam.

Athari ya vita hii imeuathiri sana ukristo kiasi ya kwamba ukristo na ubepari kwasasa ni kitu kimoja. Kama vile ukristo na ukabaila ulivyokuwa kitu kimoja karne ya 18. Vita kuu sasa ya wapagani ni kuwageuza wanaume kuwa machoko na mazombi.

Nadhani hata weye unaweza kukubali msemo wao huu, Being a male is a matter of birth but Becoming a MAN is a matter of choice...

Sasa si ajabu kuona upinzani wa wa baadhi ya waislam kwa ubepari na umarekani.

Hata hivyo wako waislam ambao tayari waathiriwa na wapagani. Ndio hayo makundi unayakuta ubalozini.

Lkn kuna makundi yeshagonga mihir moyoni mwao, wakiamini kumpeleka mtoto wake hasa wa kiume nchi za magharibi atarudi Akiwa choko.

Na tunaona athari hii kwa wenye kupaparikia kwenda matekani.
 
Back
Top Bottom