The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,832
- 3,294
Waki kwambia ni tag[emoji125][emoji125][emoji125][emoji124][emoji124][emoji144][emoji144]Naomba mnieleweshe kuna tofauti gani kati ya Shia na suffi.
Pia inakuaje muislamu anakuwa Shia au Sunni mf.wakristo Mara nyingi kuwa RC,Anglican au mlutheri inatokana na kurithi kutoka kwa wazazi.