Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Saudi Arabia has executed 37 men convicted of terror-related crimes, the kingdom's official news agency said Tuesday.
One of the convicts was crucified, according to an interior ministry statement carried by the Saudi Press Agency (SPA).
edition.cnn.com
Kumbe Wasaudi wanakata vichwa tena (ila bado vichwa vya watu waliopanga kumyeyusha kwa asidi mwanahabari yule)
Pia wanasulibisha tena. Ila tu tukubali maendeleo fulani: anayesulibiwa anakatwa kichwa kwanza, baadaye mwili wake unainuliwa juu kwenye msalaba. Wale Waroma wa Kale walimsulibisha Yesu hai (na maelfu wengine).
Kwa kutangulia kukata kichwa mateso pale msalabani hayapo tena. Ni maendeleo kwelikweli, maana wameshafikia kwenye mwaka Hijri Year 1441.
Basi kielelezo hiki?
One of the convicts was crucified, according to an interior ministry statement carried by the Saudi Press Agency (SPA).
Saudi Arabia executes 37 people, crucifying one, for terror-related crimes | CNN