sign out, then sign in kwa surname nyingine alaf soma hii post yako. Uone kama ume make any sense..!
sign out, then sign in kwa surname nyingine alaf soma hii post yako. Uone kama ume make any sense..!
akirudi bila jeraha namtiririsha. lol
hiii cutegal, kitendawili Poa !! hapo kama msumeno kuna ncha mbili yaani ukisukuma yala na ukivuta yala Looh !!MAJANGAA..! Kuna wanaume Nairobi ndio wanarudi home leo tangu jmosi. Eti, nao walikuwa wamechukuliwa mateka Westgate!......Wadada kama wako ndo anarudi kwa gia hiyo ungemkaribisha ndani au ungemuuliza maswali kwa undani?????? Duuh inachekesha ila kama inakutokea kweli hatariiiiiii
lol, ulitaka avunjike jino
umeona eeeh shoga wa mimi