mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
nani alikuambia kuwa wasanii wa tanzania ni maskini? wote kikwete amewawezesha na mambo ni safi bana!Alafu kutwa wanalalama maisha magumu.
hakika njaa ni mbaya sana especially ikipanda mpaka kichwani.