Wasanii wengi kushabikia CCM,inaashiria nini?

Wasanii wengi kushabikia CCM,inaashiria nini?

musami

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
1,434
Reaction score
460
Kumekuwa na wimbi kubwa la wasanii wa Bongo fleva na Bongo Movie kushabikia CCM,tumeona wengi tena wale maarufu wakijitokeza waziwazi kwenye shughuli za CCM.Jambo la kujiuliza hivi ni kweli hawa wasanii wana mapenzi ya dhati na chama hiki au ni ubinafsi wao,au kwa kuwa wengi wao wana elimu ndogo hivyo kushindwa kuelewa matatizo makubwa yaliyosababishwa na CCM?
 
wanataka ukuu wa wilaya....short and simple
 
Mkuu hivi sasa Ally Kiba mzee wa kucheketa ataanza rasmi kuimbia CHADEMA,
 
Wanataka ubunge na ukuu wa mikoa wilaya c unajua jamaa akikuzimikia anakuteua tu haijalishi shule au........
 
Kumekuwa na wimbi kubwa la wasanii wa Bongo fleva na Bongo Movie kushabikia CCM,tumeona wengi tena wale maarufu wakijitokeza waziwazi kwenye shughuli za CCM.Jambo la kujiuliza hivi ni kweli hawa wasanii wana mapenzi ya dhati na chama hiki au ni ubinafsi wao,au kwa kuwa wengi wao wana elimu ndogo hivyo kushindwa kuelewa matatizo makubwa yaliyosababishwa na CCM?

Utoto,hela na mkumbo
 
Mkuu mi nadhani ni Elimu na uwezo wao wa kufikiri, lakini na mara nyingi ni hawa wanaoimba nyimbo za kulialia na mapenzi. Ila kwa wale wa hip hop ya ukweli na iliyosimama huwakuti wakifanya hivyo kwa sababu wanaupeo mkubwa wa kufikiri, mfano Fid Q, Mwana FA, n.k.
 
1425191032581.jpg
 
Umenena vyema usanii wao hauwazuii wao kufanya wanachopenda wangekua upinzani nina uhakika usingesema kitu ila kwa vile ni ccm basi wanaonekana wamepotea waacheni
 
Labda uhuru wa kimaslahi, mimi siamini kama ni uhuru wa kifikra.

utafanya nn wkt nchi imekosa baba kla mtu na lake wanajua ukwel lkn wameamua unafiki utawasaidia aje? bora wafie uko wacje uku kwetu na unafiki wao
 
Wasanii mara nyingi ni wapenda wepesi dhaifu most wako originated na kupenda pesa na show off and no more! ccm wanazo fedha nyingi za watu wa aina hii
 
Kwakuwa wanawake wanagegedwa na viongozi wengi wa ccm.wanaume wao ni mashemeji.wanafata mkumbo
 
Pesa zao wanazipata kisanii ndio maana wameamua kujiunga na chama cha wasanii, wanapiga mkwanja siku zinasonga, ila mi binafsi 5000 yangu ya cd hawatakuja kuipata mwaisha mwangu
 
ccm kuna hela ndefu ndio maana kila mtu msimu huu anajikomba angalau aibuke nazo..
 
Back
Top Bottom