PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,864
- 23,473
Mkuu Suma Lee aliamua kuacha mziki ( Alhamdulilah amekua mtu dini ) hakufulia!
Huo ushehe ndio atafulia kabisa kabisa. Mwisho wake Ni kuvaa kanzu mbovu na kufuatilia minuso ya uswazi.
Mkuu Suma Lee aliamua kuacha mziki ( Alhamdulilah amekua mtu dini ) hakufulia!
Naam mkuu kwa Jina lako lilivyo ungetoa jibu jingine zaidi ya hilo ulotoa ningeshangaaHuo ushehe ndio atafulia kabisa kabisa. Mwisho wake Ni kuvaa kanzu mbovu na kufuatilia minuso ya uswazi.