Sijui unafanya makusudi au unataka ligi OK anyway nilichomaanisha ni kwamba nilikuwa sijui kwamba ni mtumiaji na muathirika wa madawa ya kulevya kiasi cha kupelekea kupelekwa soba na Mara nyingi msanii akishajiingiza huku ubora wake hupotea na kwa bahati mbaya huyu jamaa hakukaa huko muda unaotakiwa aliondoka mapema nilimsikia msimamizi wa hiyo soba ya kigamboni akihojiwa na ukumbuke addict ya madawa ya kulevya huwa ni ngumu kutoka; hiko ndicho nilichomaanisha nadhani umenielewa