Wasanii wahamasisha kata ya kwa Delo

Wasanii wahamasisha kata ya kwa Delo

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
[h=2]WASANII WA FILAMU WANOGESHA UZINDUZI WA KAMPENI YA KILIMO KWANZA KATA YA KWADELO, KONDOA[/h]

​
Wasanii wa filamu, kutoka kushoto; Jacob Steven 'J B', Vicent Kigosi 'Ray', Irene Uwoya, Wema Sepetu na Single Mtambalike 'Rick Rich' walipowasili Kwadelo kwa ajili ya kushiri uzinduzi huo wa kampeni ya Kilimo Kwanza kwa vijana wa Kata hiyo.
​
Wazee wa Kwadelo wakati wakimsubiri kuwasili kwa diwani wao pamoja wasanii hao
​
Baadhi ya kinamama wa Kwadelo waliohudhuria hafla hiyo
​
Ray akipozi picha na wazee wa Kwadelo
​
Kariati akiwa na wasanii hao kwenye trekta kabla ya uzinduzi wa kampeni hiyo
​
Wema Sepetu akiungurumisha trekta ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni hiyo. Wapili Kulia ni Omary Kariati
​
Uwoya naye akilijaribu trekta kwenye uzindzi huo
​
KWADELO HOYEEEEEE! J B akihamasisha wakati wakiwa kwenye trekta la kilimo wakati wa uzinduzi huo
​
Treka likionyesha mfano wa ulimaji wa kisasa kwenye shamba la shule ya sekondari ya Kwadelo wakati wa uzinduzi huo
​
KITUKO: Panzi! Panzi! Panzi!, Wema Sepetu (shati ya kijani) akifunika uso wake kwa kipochi chake, huku akipiga kelele na kujiingiza katika kundi la wazee, kwa sababu ya kuogopa panzi aliyemdandia wakati wa shughuli za uzinduzi huo shambani
​
J B na Wema wakila mapozi shambani wakati wakienda sehemu ya uzinduzi
​
Wema akitangaza kuzindua kampeni hiyo
​
BAADAYE: Wasanii hao wakimkabidhi sh. 500,000 mmoja wa wananchi wa Kwadelo walioathirika na mafuriko. Kwa mujibu wa Diwani Kariati (wapili kushoto), fedha hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Meembe ambaye ni mzee wa heshima wa kata hiyo.
​
Diwani Kariati akikagua maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika moja ya vijiji vya Kata ya Kwadelo, kufuatia mvua zoinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini
​
Kariati akionyeshwa maeneo yaliyoathirika
​
Wazee wakiomba dua ya kheri baada ya shuguli za uzindizi wa Kampnei ya kilimo kwanza na kukagua maeneo ya walioathiriwa na mafuriko: Picha na Bashir Nkoromo

Source; Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
Huyo fransis godwin mbona kama kacopy nankupaste kutoka kwa blog ya jiachie ya michuzi jr au michuzi ndio kacopy na kupaste kwa fransis gpdwin?
 
Ndo hapo sasa sijui nani alianza maana wote hawajaweka source
 
Kwani Kilimo kwanza si picha tu ya kisanii kama Bongo movie au?
 
Back
Top Bottom