Wasanii waende MSOGA kumsumbua JK kweli!!?

kaishebo

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
819
579
Kauli hii kutoka kwa Mwanachama wa CHADEMA Wema Sepetu kuwa wasanii wanaokidai CCM pesa za kampeni za 2015 waende kumdai Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Jakaya Kkwete, ni kumvunjia heshima.
CCM kitoe tamko la kukanusha ama kukubali kuwa viongozi wake wanawaelekeza wasanii wamdai JK au Wasanii wengine wajitokeze kuelezea uthabiti wa kauli hii ya Wema.
JK kaishasema aachwe apumzike JAMANI!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom