Wasanii waanza kuilalamikia serikali kwa kutowajali baada ya kipindi cha uchaguzi

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Wasanii wetu sisi km chama tunatambua mchango wenu ila kwa sasa tunaomba mtusamehe na mtuvumilie kwani bado tunainyosha nchi kwanza

Hapa kazi

Diamond afunguka
‪+255 756 997 052‬ 20170506_001249.jpg
 
Sasa hao wasanii bure kabisa......

Alipoongea Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipa pesa yao kutokana na makubaliano yao kuhusu kazi ya kuzunguka nchi nzima kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015, si walitokea akina Steve Nyerere wakamwita mzushi na wakadai kuwa hakuna pesa yoyote wanayoidai CCM!?

Ngoja waendelee kuisoma namba kwenye serikali hii ya Ngosha ili akili ziwakae sawa..........
 
Poa tu kwa sababu ukijengwa utatumika kwenye mengi, ila nafikiri wanapata matatizo na wamiliki au wanaoendesha sehemu kutaka kuwakata asilimia kubwa sana ya mapato ya show pia.

Waje waujenge huku kijijini kwetu, nasi tupate utalii wa ndani na kutajirika.

Diamond anawaongelea na wengine wengi anaowaona walipo, kupaaa ni shida.
 
.....Kwanza huo si mchoro, ni picha kabisa ya uwanja wa Olimpiki wa Berlin..
Olympic Stadium Berlin..
 
Kina nape watakua wengi ! Ooh Mara nililala porini,Mara mnajua nchi ilikotoka,Mara nimeirudisha ccm madarakani,na kelele nyingi,zisizo tikisa hata kamba ya ccm aliyofungwa shingoni !

Hawa wafuasi wa nguvu za giza hawana hata aibu kuongea ujinga wa waina hii,serikali iwajali kwa lipi, serikali imemaliza kazi yake na nyie kwa kuijazia wingi,ili muisaidie kumdhulimu Lowasa kura zake.ina maana imewafanya kama lipumbavu na lisiaha (slaa)

Sasa nyamazeni kimya,mle mlicho hifadhi ghalani.wanawake wanajifungulia sakafuni,wadogo zenu elimu ya juu hawapewi mikopo,madawa,na vifaa tiba hakuna,maji safi na salma hakuna mnatudhihaki mkiimba ccm mbele kwa mbele tutaisoma # !.

Mlijua mtatusomesha sisi tu,kwakua nyie mnaishi mbinguni ?
Sasa nyie ndo mmeikariri na moja imewakaa kichwani ili muwaze sawasawa.na akili ziwasogee,manake zimeganda,kwakujua ccm ingewalisha na kuwasindikiza chooni!mapunguani kwelikweli nyie.

Mlipo itwa ikulu,mkaona mpo peponi,hamtarudi duniani !sasa mko wapi?
Na bashite katumwa awatumie tena juzi ili mzidi kuchukiwa na kushuka thamani na awabwage,kwakua bwana mtakatifu wake alisha sema,anataka muishi kama mashetani na sio kama wasanii ! Mkome Siku ingine kukodiwa kudhumu kura za Lowasa.nanyie ni wasanii au wasaliti ? fieni mbali huko nakupenda kwenu dezo.kwani serikali,imewanyang'anya midomo yenu,si muimbe,
na waigizaji kwani serikali imewanyang'anya mapozi ya sinema,si muimbe na kuigiza mpate hela !
 
Ngoja waipate, maan uchagz ukifik wanatumik kama matairi ili kuvukia penye miiba, baada ya hapo Hamna faid tena, uchaguz ukifik wanasias wawa2mie tena
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kina nape watakua wengi ! Ooh Mara nililala porini,Mara mnajua nchi ilikotoka,Mara nimeirudisha ccm madarakani,na kelele nyingi,zisizo tikisa hata kamba ya ccm aliyofungwa shingoni !

Hawa wafuasi wa nguvu za giza hawana hata aibu kuongea ujinga wa waina hii,serikali iwajali kwa lipi, serikali imemaliza kazi yake na nyie kwa kuijazia wingi,ili muisaidie kumdhulimu Lowasa kura zake.ina maana imewafanya kama lipumbavu na lisiaha (slaa)

Sasa nyamazeni kimya,mle mlicho hifadhi ghalani.wanawake wanajifungulia sakafuni,wadogo zenu elimu ya juu hawapewi mikopo,madawa,na vifaa tiba hakuna,maji safi na salma hakuna mnatudhihaki mkiimba ccm mbele kwa mbele tutaisoma # !.

Mlijua mtatusomesha sisi tu,kwakua nyie mnaishi mbinguni ?
Sasa nyie ndo mmeikariri na moja imewakaa kichwani ili muwaze sawasawa.na akili ziwasogee,manake zimeganda,kwakujua ccm ingewalisha na kuwasindikiza chooni!mapunguani kwelikweli nyie.

Mlipo itwa ikulu,mkaona mpo peponi,hamtarudi duniani !sasa mko wapi?
Na bashite katumwa awatumie tena juzi ili mzidi kuchukiwa na kushuka thamani na awabwage,kwakua bwana mtakatifu wake alisha sema,anataka muishi kama mashetani na sio kama wasanii ! Mkome Siku ingine kukodiwa kudhumu kura za Lowasa.nanyie ni wasanii au wasaliti ? fieni mbali huko nakupenda kwenu dezo.kwani serikali,imewanyang'anya midomo yenu,si muimbe,
na waigizaji kwani serikali imewanyang'anya mapozi ya sinema,si muimbe na kuigiza mpate hela !

Wambieeeee
 
Fikiri kwanza ndio utamuelewa daimond alichomaanisha
Ktk wasanii wanaoneemeka na ccm hakuna kama daimond na hawezi kuthubutu kuisema ccm.
Yaani dai anawapigia mdundo nyie mnaucheza bila ya kujua maana yake
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom