Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
Kuna wasanii zamani walivuma sana na kujulikana sana. Wapo wengi tu. Sijui wanajishughulisha na nini siku hizi? Kwa mfano watu kama kina AB Skillz, Bablee, Hakeem 5 na wengine wengi. Basi tufahamishane, taja msanii unayemjua ambaye ameshuka kimziki na anafanya shughuli gani kwa sasa hivi.