Wasanii wa kike, hii kauli ya Diamond kuwa mnachepuka sana ni kweli?

tanzanite miner

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
257
172
Ni udhalilishaji kwenye tasnia ya sanaa hapa nchini kwa kauli kama ile kutoka kwa Diamond(kama ni kweli)

Amedhalilisha wanawake wote duniani na hasa kwa kinadada wanamuziki. Dharau hii nadhani ni ule msemo kua masikini akipata (..).

Haya sasa swali kwenu kinadada kweli nyie ndivyo mlivyo kuwa mnatumika sana au ?!!
 
Muulize Amin alichotendewa na linah

Nuhu mziwanda vs shilole
 
Lakini ata sishangai maana wasanii si makahaba ata biblia imeonya kwamba usifanye urafiki na mwanamke mwanamziki...

kutoka kwenye biblia mstari nimesahau ila ni kitabu cha naniliu
 
Back
Top Bottom