si ajabu unatumia tv ya baba yako kuangalia hii show.na umefurahi kweli kuwa kijana bado.Ukiona hivyo jua umri umekutupa mkono,usi force kuwa kijana wakati zilipendwa.
Bawasili? Hebu tulia sholi"nikupige goli"kwa style ya kulala chali"Vipi unabawasili unatafuta dawa?
Vyote kwa pamojaHakuna kitu nachukia Kama watazamaji kuambiwa waimbe..Sasa nimelipa pesa nije kuona unavyoimba au nimelipa pesa nije kuimba..!! ..
huyo wanae muita RJ the DJ no utumbo mtupu bora huyu ommy crazy kdg