Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wasanii wa bongo movie inaonekana mnasahau mapema.Mwaka 2015;mlisimama kwenye majukwaa Na kutunanga sana watanzania Na kuhaidiwa neema tele ya Kazi zenu.Mkalipwa mamilioni ya Kodi zetu wakati kazi zenu hazilipiwi kodi Mkaitwa Ikulu mkasifiwa sana tena sana mkadhani maisha yatakuwa hivyo kila uchwao yako wapi?Tunawashauri nendeni tena kwenye majukwaa mkauze Kazi zenu Sie basi tena .