Wasanii sasa kunufaika na miito ya simu?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Mzee Kinkii kii anasema tangu asaini mikataba ya ngoma zake kutumiwa na Kampuni za simu hajawahi kulamba mshiko kabisa...Mwasabwite yule wa Gospel nae anasema holaa...wasanii inaelekea wananyonywa sana na hawa jamaa wa miito ya simu...sasa TCRA imegongelea msumari mapato ya miito itakuwa nusu kwa nusu hadi Juni muafaka utakapopatikana.

Chibu kule Instagram kafurahi sana

Mapato ya miito sasa pasu kwa pasu wasanii na makampuni ya simu
Mapato ya miito sasa pasu kwa pasu wasanii na makampuni ya simu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa siku biashara ni biashara. Faida kwanza. Makampuni yakiona hayapati faida yanaachana nayo, wasanii wauze wenyewe.
 
Mwisho wa siku biashara ni biashara. Faida kwanza. Makampuni yakiona hayapati faida yanaachana nayo, wasanii wauze wenyewe.
Kwa sasa kampuni za simu haziwezi kukwepa customisation ya ring back tones na caller tunes kwa ujumla wake...yaani uondoe ngoma uweke mi default sounds kama kengele nani anataka siku hizi...ukweli ni kwamba wasanii walikuwa wananyonywa...sasa dawa yao ishapatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo lazima waweke nyimbo za wasanii.

Siku hizi kuna matangazo, hadithi na sauti mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…