mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,061 Reaction score 4,848 Jul 10, 2020 #1 Wasanii wa fani mbalimbali ambao mmefanikiwa kutusua kimaisha, kuleni starehe huku mkijua kuwa Kuna kesho, tumechoka kuchangia wasanii kwa ajili ya matibabu.
Wasanii wa fani mbalimbali ambao mmefanikiwa kutusua kimaisha, kuleni starehe huku mkijua kuwa Kuna kesho, tumechoka kuchangia wasanii kwa ajili ya matibabu.
Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,469 Jul 10, 2020 #2 sasa huku umeambiwa ni kijiwe cha wasanii ulete malalamiko yako?
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,367 Reaction score 9,118 Jul 10, 2020 #3 Leo umemchangia nani mpaka ukaja kulalamika huku?.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 118,125 Reaction score 192,997 Jul 10, 2020 #4 Haya wamekusikia lol