Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 830
Habari wana Jf, ni siku nyingine tena ambayo tumepata kibali mbele za mwenyezi Mungu kuishi tena, siii kwa akili zetu wala kwa ujanja wetu kufika hapa tulipo bali ni kwa NEEMA tuu,
leo naomba nigusie hili swala la wasanii wetu kwenda kutafuta location njee ya nchi yetu ilhali nyumbani tuna location babkubwa.
Moja kati ya vitu ambavyo Tanzania imejaliwa ni Mazingira yakuvutia mno, ila nashindwakuelewa ni kwa nn wasanii wetu wamekumbwa na huu wenda wazimu wa kwenda kuomba omba location zakutengeneza huko SA,KENYA na sehemu kama hizo.
Mbona msanii LINEX hakwenda SA na video yake ya "KWA HELA" imebamba? kama bado hujapata kuiona video hiyo itazame hapa kisha changanua swala hili.