Wasanii kumuunga mkono Magufuli


povu lawatoka kwa sababu gani? au hamtambui kuwa kila mmmoja anayo haki ya kumuunga mkono mtu amtakaye? sioni shida katika hili, wao ni watanzania na kuwa wasanii ni kazi yao kama waliyo wafanyakazi wengine. Kapige kura yako mchague umtakae ila usijadili maamuzi ya mtu mwingine kwa kuwa wewe huyaungi mkono.
 


Read between the lines bwana mdogo.
 

Kama wewe Lowasa wao Magufuli sasa shida nini?? Kila mtu akifuata chama unachotaka ww hakuna upinzani pigia kampeni chama chako sy kuangalia nani yupo wapi
 
Kama wewe Lowasa wao Magufuli sasa shida nini?? Kila mtu akifuata chama unachotaka ww hakuna upinzani pigia kampeni chama chako sy kuangalia nani yupo wapi

Na wewe kimekuuma nn mpaka kureply
 
Wasanii wengi tanzania watakuja kufa maskini kwasababu huwa hawaoni mbali na hawajui maana harisi ya demokrasia na faida zake katika maisha
 
Hivi kwa hawa wasanii wetu vilaza hawa, kuna msanii gani anaweza akainfuence mass kwamba labda achaguliwe fulani na kweli watu wakamwelewa?? Hawa wasanii vilaza hawa tulio nao ambao kila siku ya Mungu ni kashfa tuu hawana impact yoyote sana sana wanaweza kusababisha kura za baadhi ya wagombea zikapungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…