Bintikisura
Member
- Aug 10, 2015
- 52
- 14
Mpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli
1. Wema
2. Zamaradi
3.Barnaba
4.Shilole
5. Dogo Aslay
6.Linah
Hawa ni wale niliowafollow instagram mm
Diamond hajapost ila naona kawatuma Dancer wake na mpiga picha wake na wapambe wake hii isitukatishe tamaa sisi tunaomuunga mkono Lowasa

watakuwa naye kimwili,but kiroho wako na lowasa
Mimi hata million siwezi uza kura yangu kamwe aisee miaka mitano ya mateso na ukosefu wa huduma. Hawa wasanii wafikirie vizuri.Yaani kura yangu inunuliwe kwa 300,000 kwa kipindi cha miaka mitano? Duh shule inahitajika sana
Magufuli ndiyo kiongozi pendwa na watanzania tunaomba mungu atusaidie huyu fisadi Lowasa asiwe kiongozi atauza taifa letu huyu Lowasa mwizi mpaka anajiibia mwenyewe.