Wasanii ishukuruni CCM kwa kuwapromoti na kuwapa riziki

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,969
Kinacho endelea toka kampeni zime anza ni kuwa CCM wana fanya promotion kubwa ya wasanii kuliko Sera zake. Huu ndio wakati wenu wasanii kuchuma na kupata promotion kabambe inayo fanywa na rais aliyepo madarakani.

Najiuliza sijui CCM waki amua hata kwa wiki moja kuzunguka bila wasanii kama cdm itakuwaje. Hogereni CCM kwa promotion kabambe kwa wasanii wetu!
 
Kuna wengine wanaimba maneno ya karaha kwa wapinzani kana kwamba ndugu na jamaa zao wote ni ccm! Kuna umuhimu wa elimu kwa hao wasanii wetu.

Wanatakiwa wawaheshimu na kuwapenda Watanzania wote kama na sisi tunavyo wapenda na kuwaheshimu. Wasisahu kuna maisha baada ya hizo kampeni.
 
Njaa tu hizo. Msanii nadhani sifa kuu hawatakiwi kufungamana na upande wowote ili pande Fulani ikiharibu waieleze ukweli. Sasa wasanii washawekwa mfukoni
 
Au sijui ni mimi tu!
Hivi mfumo wa mziki wa bongo fleva kupigwa 'live' majukwaani mbona ni karaha na siyo raha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lady jaydee tu ndio msanii anaejielewa hawa wengine elimu duni + njaa kali.lazima wajikombe kombe
 
Njaa tu hizo. Msanii nadhani sifa kuu hawatakiwi kufungamana na upande wowote ili pande Fulani ikiharibu waieleze ukweli. Sasa wasanii washawekwa mfukoni
Msanii yeyote duniani ana njaa ndio maana anaimba kupata pesa. Unataka kuniambia Sugu na Prof. Jay huwa wanaimba ili kupata mademu tu?
 
Au sijui ni mimi tu!
Hivi mfumo wa mziki wa bongo fleva kupigwa 'live' majukwaani mbona ni karaha na siyo raha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Muziki halisi na ambao mashabiki/wahudhuriaji wanaufaidi ni ule wa dansi/bolingo/buzuki tu.

Huo wa bongo fleva utaimbishwa, kurukishwa, kuchezeshwa na kupigishwa kelele mpaka ukome. Nadhani ndiyo maaana unaitwa mziki wa kizazi kipya.

Na uzuri mashabiki wenyewe nao wameshazoea kuchezeshwa kwata.
 
Kuna wengine wanaimba maneno ya karaha kwa wapinzani kana kwamba ndugu na jamaa zao wote ni ccm! Kuna umuhimu wa elimu kwa hao wasanii wetu.

Wanatakiwa wawaheshimu na kuwapenda Watanzania wote kama na sisi tunavyo wapenda na kuwaheshimu. Wasisahu kuna maisha baada ya hizo kampeni.
Kitu ambacho ninajivunia ni kutokuwa shabiki wa msanii yoyote wa kitanzania.
 
Msanii yeyote duniani ana njaa ndio maana anaimba kupata pesa. Unataka kuniambia Sugu na Prof. Jay huwa wanaimba ili kupata mademu tu?
Sijui bana hiyo miziki ya kwaya!!!! Ninachoelewa Mimi bongo fleva, na hiyo ya kuchana hainaga ushoga!!!! Pesa utaipatia kwa wasikilizaji
 
Back
Top Bottom