Wasani Wengi Wa Bongo Flavour Wanapambana Kuwa Kama Diamond Platnumz Badala ya Kutengeneza Identity Yao

Granted Faith

Member
Jul 4, 2021
57
292
Nimeangalia sana hili game la Bongo flavor Wasani wengine wanataka Kuwa Diamondplatnumz,
-Wanacopy kuanzia Life style
-Wanacopy Kuanzisha Record Label
-Wanacopy Kuongea na Kuvaa
-Wanacopy the way anavyoimba
-Kila msanii anataka nae awe na Maisha kama Diamondplatnumz

Bila kuangalia Diamondplatnumz amepambana 10 Years kuwa hapo na kupata Maendeleo aliyonayo

Unakuta msani ana miaka 3 or 5 anataka kumiliki kila kitu alichonacho Diamondplatnumz bila kuangalia diamondplatnumz alitokea wapi hadi kufika hapo

Ukiangalia Wasanii wengi wa bongo wanafanya vile vile kama diamondplatnumz hii inafanya tusione kitu kipya walichonacho bali tunaona Copy ya Diamondplatnumz

Wasanii wa Bongo Jitahidini Kila mtu awe na Identity Yake ili game la bongo flavor liwe tofauti na tupate mambo tofaut tofaut Sio lazima kila msani awekeze kwenye Record label au Media Vipo vitu vingi sana vya kuwekeza na vikakuingizia Mkwanja Mrefu tu tena kiulaini kuliko kuwekeza kwenye Record label au Media ambazo sina Stress na faida yake unaweza usione kwa haraka kwasababu ukimiliki Record label au Media Lazima uwekeze hela nyingi sana kuliko kupata faida

Wasani wa Marekani wangetaka kuwa kama Jay Z basi Na kumiliki Record label na Platform za kuuza Mziki basi Wasani wote Marekeni Wangekuwa na Record Label na Platform za kuuza mziki ila wengi Wameamua kuwa Na Identity zao na kuwekeza kwenye Biashara zingine Mfano kwenye NGUO, SHOES, PERFUME, HOTELS, RESTAURANT, ONLINE SHOPPING SHOPS, CLUBS, INDUSTRY na Wanaingiza Mikwanja Mirefu sana

My thought kwa Wasanii wa Bongo Flavor jaribuni kuwekeza kwenye vitu vipya ili Kuwa na Identity tofauti sio lazima kila msani amiliki Record Label au Media ebooo Wekezeni kwenye Vitu Vingine Vyenye Utofauti, Bongo now Record Label zimekuwa nyingi na Hazipati Faida kiivooo ni basi tu Waonekane kuna Record label zinasimamia Wasanii pia kuna Record label ambazo hazina faida yeyote kwa Wasanii wao unakuta msanii anatoa ngoma Deileee but hana Mafanikio Yeyote zaidi ya Kukik Instagram hata Hela ya Kupanga Ghetto hawana wanaishi kwenye HQ za Record Label zao this is Very Sad kama unaimba bila Faida yeyote na Mafanikio yeyote then Boss anavimba mjini. Kuwa Msanii mkubwa Mwenye Jina bila Mafanikio ni Uboya narudia tena Kuwa Msani mkubwa mwenye jina bila Mafanikio ni Uboya, Wazazi wanakuona Unatamba tu mjini ila hela ya kuwanunulia hata Sukari huna isee ni Matumizi mabaya ya kipaji chako.

Then Upcoming Wasanii angalieni Na Record Label za Kuwa Sign kuna Record Label zingine ni Jina tu ila Wasanii Wake wanakufa njaaa na hawana Mafanikio yeyote zaidi ya Kuunganishiwa WiFi na kukesha Instagram bila faida. ‘’SIO KILA KING’AACHO NI DHAHABU’’

Wasanii wa Bongo Flavor Pambaneni kuwa na Identity Yetu kuliko kupambana Kuwa Kama Diamondplatnumz cz inafanya game la bongo Flavor liwe na vitu vile vile tulivyovizoea ambavyo faida yake ni Ndogo.

Written by
Granted Faith
 
Kuna ukweli ndani yake. Hii kasumba ya kua na record lebel imekua sana sana.

Mpaka imekua sasa mafanikio ya msanii uanapimwa kwa kuanzisha lebel yake.

Ila labda ndo fani waliyobobea mkuu.

Hizo Record Label hazina Faida yeyote kwa wasani waliowasign, Msanii anajina kubwa Instagram ila hana mafanikio yeyote hata kupanga ghetto wanashndwa wanaish kwenye HQ za Record Label
 
Huu mshale umeelekezwa kwa panya gang kwani ndipo wasanii wanaishi kwenye ofisi za kampuni, studio ndiyo hiyo hiyo nyumba ya kuishi wasanii.
Si mbaya lakini, mwanzo huwa ni mgumu huko mbele ya safari wanaweza kuja kuwa wanaingiza kipato cha kuwafanya wabadili standards za maisha yao.
 
Kuwa na label ni jambo zuri, kwani wasanii wachanga inawawia rahisi kukua,ila label ili mradi tu hamna mikakati bora usianzishe label, kwani utaingia hasara mwisho wa siku wasanii wata kukimbia.
 
wasanii wanaomuiga wasilaumiwe

Kila nikifikiria kwamba hapa bongo tuna msanii anamiliki Rolls Royce toleo la mwaka huu huwa siishiwi kushangaa na kila nikijaribu kumfananisha kidogo na anaemfatia kwa mbali, nakosa kabisa.

Kama ni sauti nzuri wapo kina Tid, qchief

Kama ni kuimba vizuri wapo kina barnaba, rama dee.

Kama ni kuwepo kwenye game muda mrefu wapo kina kiba

Ila kwenye ustaa, umaarufu, entertainment na kuwa na Maendeleo sasa!!, Diamond kafunika kabisa, sauti anayo lakini sio kama tid, kuimba anaweza lakini sio kama barmaba, ukongwe anao lakini sio kama kiba, ila anapambana vibaya mno.

Hebu rudini mkacheki msafara ule wa rolla royce toleo la mwaka huu huu, escalade mbili, na v8 mbili,,,,acha kabisa, yani hapo v8 ndo gari ya chini kwenye huo msafara, wakati hii gari ndio ya wabunge na ma RC!!

Wacha wamuige tu,
 
Kila nikifikiria kwamba tuna msanii hapa bongo anamiliki Rolls royce toleo la mwaka huu huwa siishiwi kushangaa na kila nikijaribu kumfananisha kidogo na anaemfatia kwa mbali, nakosa kabisa.

Kama ni sauti nzuri wapo kina Tid, qchief

Kama ni kuimba vizuri wapo kina barnaba, rama dee.

Kama ni kuwepo kwenye game muda mrefu wapo kina kiba

Ila kwenye ustaa, umaarufu, entertainment na kuwa na Maendeleo sasa!!, Diamond kafunika kabisa, sauti anayo lakini sio kama tid, kuimba anaweza lakini sio kama barmaba, ukongwe anao lakini sio kama kiba, ila anapambana vibaya mno.

Hebu rudini mkacheki msafara ule wa rolla royce toleo la mwaka huu huu, escalade 2, na v8 mbili,,,,acha kabisa, yani hapo v8 ndo gari ya chini wakati hii gari ndio za wabunge, ni shida aisee!!
Dogo anapiga kazi, ana vision na strategies zake zinamfanya azidi kufanikiwa.
Hao wanaomuiga wasilaumiwe sana kwani pale mtu anapokosa ubunifu basi kinachofuata ni copy and paste ya yale yafanywayo na role model wake, Diamond ni role model wa wasanii wote Tz hata wale wanaomchukia wazi wazi kwani mafanikio yake yako dhahiri shahiri.
Ataendelea kuwa mfano kwa wasanii mpaka miaka mingi ijayo kwamba hardwork beats talent kwani kwa generation hii sidhani kama atatokea hata ambaye atakaribia mafanikio aliyoyafikia huyo dogo.
Just imagine amewazidi wenzake kwa mbali mno kimafanikio lakini namba mbili ni debatable, yaani hapo watu watabishana kwa ushabiki(kama ilivyozoeleka) mpaka asubuhi.
The young man is super creative, just imagine alivyoamua kuwa na three managers watu hawakuamini kama ana uwezo wa kuwalipa lakini sasa hilo siyo mjadala tena. One step at a time, miaka michache ijayo atakuwa anapambanishwa na wasanii tofauti kabisa na haters watakuwa ni mashabiki wa hao atakaokuwa anapambanishwa nao.
Ushabi utabaki kwenye 'ni fake au original' kwani hater mara zote huwa anatafuta sehemu ya kupumulia, it is what it is.
 
Nimeangalia sana hili game la Bongo flavor Wasani wengine wanataka Kuwa Diamondplatnumz,
-Wanacopy kuanzia Life style
-Wanacopy Kuanzisha Record Label
-Wanacopy Kuongea na Kuvaa
-Wanacopy the way anavyoimba
-Kila msanii anataka nae awe na Maisha kama Diamondplatnumz

Bila kuangalia Diamondplatnumz amepambana 10 Years kuwa hapo na kupata Maendeleo aliyonayo

Unakuta msani ana miaka 3 or 5 anataka kumiliki kila kitu alichonacho Diamondplatnumz bila kuangalia diamondplatnumz alitokea wapi hadi kufika hapo

Ukiangalia Wasanii wengi wa bongo wanafanya vile vile kama diamondplatnumz hii inafanya tusione kitu kipya walichonacho bali tunaona Copy ya Diamondplatnumz

Wasanii wa Bongo Jitahidini Kila mtu awe na Identity Yake ili game la bongo flavor liwe tofauti na tupate mambo tofaut tofaut Sio lazima kila msani awekeze kwenye Record label au Media Vipo vitu vingi sana vya kuwekeza na vikakuingizia Mkwanja Mrefu tu tena kiulaini kuliko kuwekeza kwenye Record label au Media ambazo sina Stress na faida yake unaweza usione kwa haraka kwasababu ukimiliki Record label au Media Lazima uwekeze hela nyingi sana kuliko kupata faida

Wasani wa Marekani wangetaka kuwa kama Jay Z basi Na kumiliki Record label na Platform za kuuza Mziki basi Wasani wote Marekeni Wangekuwa na Record Label na Platform za kuuza mziki ila wengi Wameamua kuwa Na Identity zao na kuwekeza kwenye Biashara zingine Mfano kwenye NGUO, SHOES, PERFUME, HOTELS, RESTAURANT, ONLINE SHOPPING SHOPS, CLUBS, INDUSTRY na Wanaingiza Mikwanja Mirefu sana

My thought kwa Wasanii wa Bongo Flavor jaribuni kuwekeza kwenye vitu vipya ili Kuwa na Identity tofauti sio lazima kila msani amiliki Record Label au Media ebooo Wekezeni kwenye Vitu Vingine Vyenye Utofauti, Bongo now Record Label zimekuwa nyingi na Hazipati Faida kiivooo ni basi tu Waonekane kuna Record label zinasimamia Wasanii pia kuna Record label ambazo hazina faida yeyote kwa Wasanii wao unakuta msanii anatoa ngoma Deileee but hana Mafanikio Yeyote zaidi ya Kukik Instagram hata Hela ya Kupanga Ghetto hawana wanaishi kwenye HQ za Record Label zao this is Very Sad kama unaimba bila Faida yeyote na Mafanikio yeyote then Boss anavimba mjini. Kuwa Msanii mkubwa Mwenye Jina bila Mafanikio ni Uboya narudia tena Kuwa Msani mkubwa mwenye jina bila Mafanikio ni Uboya, Wazazi wanakuona Unatamba tu mjini ila hela ya kuwanunulia hata Sukari huna isee ni Matumizi mabaya ya kipaji chako.

Then Upcoming Wasanii angalieni Na Record Label za Kuwa Sign kuna Record Label zingine ni Jina tu ila Wasanii Wake wanakufa njaaa na hawana Mafanikio yeyote zaidi ya Kuunganishiwa WiFi na kukesha Instagram bila faida. ‘’SIO KILA KING’AACHO NI DHAHABU’’

Wasanii wa Bongo Flavor Pambaneni kuwa na Identity Yetu kuliko kupambana Kuwa Kama Diamondplatnumz cz inafanya game la bongo Flavor liwe na vitu vile vile tulivyovizoea ambavyo faida yake ni Ndogo.

Written by
Granted Faith
Kwahiyo WCB ndio record label ya kwanza tangu Muziki wa Bongo Fleva uanze nchi hii ????

Hivi vijana wa sasa akili mmekabidhi kwa nani aiseee ?
 
Maisha uliyakosea mwenyewe dogo usilete makasiriko kwa wcb 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom