Wasaidizi wa Seif wapigwa na butwaa

Wasaidizi wa Seif wapigwa na butwaa

WAPENZI WAKE WANAMLIPIA HATA AKIKAA MWAKA MZIMA HAPO...HUYO NI KIPENZI NA RAIS WA MOYONI...WATU WATAMLIPIA NA CHAMA KITAMLIPIA NI MTU MUHIMU SANA KWA ZNZ...
UJINGA NI WAKO KUWA NA KUJIBA KIMEKUKAA NA UTAKUFA NACHO ILA MAALIM NI KIONGOZI NA MWANA SIASA BORA KATIKA DUNIANI....
kwanini asikae bwawani hotel aje kula kodi zetu huku? lazima tufunge barabara za kuingia serena hadi atoke.
 
Kwa sheria zetu hata kama maalim seif hatakua na wadhifa wowote bado ataendelea kutibiwa kwa gharama za serikali, tatizo la mashabiki wengi wa ccm ni uelewa mdogo sana wa kila kitu, hi ni sawa na wakati ule Nape alivyosemaga Dr. Slaa bado anamiliki kadi ya ccm, wana ccm wengi sana walilishadadia sana jambo lile.
 
Hao wako hivi
ImageUploadedByJamiiForums1457720992.834084.jpg
 
kwanini asikae bwawani hotel aje kula kodi zetu huku? lazima tufunge barabara za kuingia serena hadi atoke.
inavoonesha hujawahi kukaa hata hoteli labda unadhani ni jambo la ajabu sana au ni kitu kikubwa sana hoteli ni chumba tu .ni sawa na gest uliyopelekwa wewe
 
ila JP kampa makavu kamwambia amsalimie mama watoto, kumbe ana bi mdogo, ndo maana hakuna hata mwanae anaemuuguza
 
Hawa vijana wengine sijui Ccm huwaga inawaokoteza wapi? Hapo ofisini kwenu huwa hamufanyiwi performance evaluation?
kigezo kikubwa wanachoangalia ni uwezo wako wa kutukana wazee , mfano hai ni nape , sadifa na makonda .
 
kwanini asikae bwawani hotel aje kula kodi zetu huku? lazima tufunge barabara za kuingia serena hadi atoke.

Ni Rais wa watu..na Bado tupo na Muungano...utajiumiza bure....ndio raha zake hizo
 
Hawa vijana wengine sijui Ccm huwaga inawaokoteza wapi? Hapo ofisini kwenu huwa hamufanyiwi performance evaluation?

Performance evaluatio ya kweli Imetangazwa na Mbowe leo Mwanza kwenye Mkutano mkuu wa Chadema kwa kusema kuwa Rushwa na utovu wa nidhamu ndani ya chama ndio kimepelekea Chama kupoteza ushindi kwenye uchaguzi Mkuu!
 
Back
Top Bottom