Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Nimekuwa nikifatilia hotuba za Rais Mara kwa Mara. Kwa mtazamo wangu Rais anakuwa na hotuba nzuri sana ila style ya eneo la hotuba inakuwa haiendani. Mfano kikao cha NEC kilichofanyika style aliyotumia kuhutubia viongozi wenzake wa chama ndio hio hio iliyotumika kuhutubia Marais wa Afrika kule ADI's Ababa.
Nachojua Mimi kuna aina ya style kulingana na aina ya watu unao wasilisha hotuba yako. Ndio usishangae unahutubia watu wakawa wanaongea kwa chini chini kuashiria hawakuelewi au hauko serious.
Hotuba nyingi huendana na mazingira ya aina watu unaozungumza nao. Na umakini wake.
Nashauri kuwepo na watu wa style za kuhutubia na watu wa kuandaa hotuba zinazoendana na mazingira.
Tujifunze kwa marais wastaafu wa Taifa letu jinsi ambavyo walikwenda na mazingira. Kila Rais ana namna yake. Lakini ukisha pewa kiti lazima ukubali kubadilika.
Sisi chama cha ACA watarajiwa tunapendekeza haya mawazo yetu yajadiliwe.
Deogratius N Kisandu
Chief chairman of ACA expected.