Ina maanga usagaji umeanza zamani hivyo?
Mmm, aibu nyingine hizi, loooh.
Jaribu kusoma Biblia kama unaweza.Ina maanga usagaji umeanza zamani hivyo?
Mmm, aibu nyingine hizi, loooh.
Mwisho wa dunia nadhani wakaribia, Gazeti la Guardian linaripoti bibi Boyack 91 na Alice 90 wamefunga ndoa wawe mke na mume baada ya kua na mahusiano ya kusagana kwa miaka 71 huko jimbo la lowa state nchini Marekani.
Source: qctimes
Hawa 100% ni WAGALATIA TU.
manake mchezo huu wanaupenda sana.
Hata aibu hakuna.