Wasafi Media mnakwama wapi?

petersen

New Member
Jan 23, 2020
4
8
Nimekuwa nikifuatilia sana Wasafi Tv channel na radio pia nimeona ni jinsi gani hamjajipanga na mnafanya kazi kwa mazoea.

Naamini hata wafanyakazi wenu wengi hawana taaluma ya utangazaji wala uandaaji wa vipindi.

Watangazaji wenu wamekuwa na porojo nyingi na kutokuwa na taarifa sahihi.

Mfano kukosea hata majina na taarifa za watu mashuhuri, achilia mbali ubunifu na ukosefu wa maudhui.
 
nimekua nikifuatilia sana wasafi tv chanel na radio pia nimeona ni jinsi gani hamjajipanga na mnafanya kazi kwa mazoea. naamini hata wafanya kazi wenu wengi hawana taaluma ya utangazani wala uandaaji wa vipindi. watangazani wenu wamekua na porojo nyingi na kutokua na taharifa sahihi . mafano kukosea hata majina na taaharifa za watu washuuri, achilia mbali ubunifu na ukosefu wa maudhui.
Mkuu naomba unitajie majina mawili tu ya watu washuuri .
 
Ukiona hivyo ujue wewe sio mlengwa wao, Wasafi wana aina ya watu wamewalenga na porojo zao wanazifurahia. We yako ni TBC1 mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom