Kwanini kila wakati Wasafi Media wakutane na Rungu la TCRA?

Last Seen

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
223
549
Mambo vipi Wana JF?
Nimekuwa Nikishangazwa na Wasafi Media jinsi wanavyoendesha vipindi vyao na jinsi wanavyopata watangazaji wao...inafurahisa kidogo.

Kuna haja ya kutumia waandishi waliobobea kama Pascal Mayalla na wengine wengi wenye uzoefu kwenye tasnia hii wawafunde watangazaji wao, wamekuwa wakitumia sana lugha za kihuni na zisizofaa kwenye Radio na Tv zao...

Kwa watangazaji wengi wa wasafi Taaluma ni chenga, hii inawasavabishia kuongea vitu viliovyopo nje ya maadili ya utangazaji...Ukiwa team Wasafi ukimsifia sana big hata kama umeishia chekechea siku moja tutakusikia wasafi digital...

Waige mfano wa Efm na Clouds watafika mbali..

Nini ushauri wako kwa Media hii changa?
 
Sio Wasafi ni wachafu.
Wapigwe Ban completely.
Wanatuharibia vijana wetu (foolish age).
Kuna kijana wa kipindi cha asubuhi- Rwenyagila alias Big Daddy- anachefua sana. Jaribuni kumweka sehemu nyingine kama utayarishaji wa vipindi, hatakiwi kuwa na direct confrontation na audiance. Orest Kawawo naye anatakiwa kujirekebisha, Zembwela is matured and OK, Zungu is OK, na kuna mmoja mchambuzi mzuri sana wa siasa na mzuri sana kwenye interviews- very knowledgeable and experienced.
 
Wasafi nawakubali ila kuna vitu wanafeli.
Unakuta mtangazaji yupo ktk kipind kavaa nguo za hovyo hovyo kabisa nusu uchi
Actually kama TCRA wangekuwa pia wanafuatilia maadili ya uvaaji wakiwa kazini hawa vijana ingekuwa balaa lingine..
 
Back
Top Bottom