Wasafi Media mnaelekea shimoni kwa mtindo huu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,709
Ni jambo zuri kuona vijana wanajikita sana kwenye tasnia ya habari.

Ila kwa sasa tasnia ya habari tanzania kwa media mpya kama hii wasafi wasipo kuwa makini sawa na turuhusu watoto wadogo ndio waongoze vipindi.

Si mara ya kwanza wasafi media kula kichapo na TCRA ila kwa vile media hii inayomilikuwa na msanii ambaye atumuwezi kiserikali,uchawi na pesa ndio maana bado inaendelea kuleta ujinga.

Wasafi Media kuanzia Tv,redio mpaka mtandaoni hakuna cha maana zaidi kama wanaenda kuongea wao.

Kasoro za Wasafi Media .
kwenye Tv:
Kiukweli kama vijana mnatafuta ubunifu basi umezidi na umepitiliza. Sijajua ni elimu au ni kitu gani.yani hakuna la maana kama tv iliyo kwa ajili ya bosi wenu maisha yenu.

Kwenye redio:
Huku ndio kabisa ,unaweza kukuta watu wanachambana mpaka ukajiuliza hii ni redio.

Wasafi mtandaoni:
Yani sijui admin kwenye mtandao anataka naye kutunzwa gari au kuwa karibu na bosi wake. Kila mda picha kutuuliza huyu ni nani! na maisha ya bosi wake kila mda.

Diamond kwa mtindo wa ofisi yako wasafi media kiukweli tafuta watu wazima watakao simamia kituo chako.mambo ya kuokota malaya,mashoga,wajinga,wapenda sifa,wanaotaka ajira wasio na taaluma na wauza sura.

Hii wasafi media itakushinda.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom