Wasafi fm ni radio station inayokuja kwa kasi sana apa nchini kwa burudani..
Wanapga nyimbo konki sana alafu wanajua kupangilia na wanaenda na ratiba leo j,pili zinapigwa gospal za hatari apa.