ukiona mwanaume unalalamika hivi una tatizo kwenye vichwa vyako viwili,upstairs na hako kadogo kakati!Harusi za kisabato zimekuwa za kero kubwa, wanasema hawataki kuweka vinywaji vyenye alcohol kisa imani yao, hawajui kama hayo mambo yanzuiwa kanisani tu, mkitoka kanisani huku kwingine ukumbini ni kwa Kaisali lazima watuachie ya Kaisali na ya Mungu tunakuwa tushayamaliza kanisani, kinachoudhi zaidi wanachukua michango yetu halafu wanatuchagulia cha kutumia, ile michango siyo hela yao, nakuwa nimetoam mimi na wala hoja ya kusema wananua wao si sahihi. Kama wanasimama kwenye imani yao basi wasichangishe pesa zetu bali watumie zao na sisi tutakuja kunywa soda na juice kama wanavyotaka na siyo mchango wangu wa pesa waupangie cha kuninunulia.
JEKI kwani umelazimishwa kwenda harusi za wasabato, kama vipi potezea usihudhurie hata harusi moja ya wasabato ili uende za wanywa bia wenzako.
Harusi za kisabato zimekuwa za kero kubwa, wanasema hawataki kuweka vinywaji vyenye alcohol kisa imani yao, hawajui kama hayo mambo yanzuiwa kanisani tu, mkitoka kanisani huku kwingine ukumbini ni kwa Kaisali lazima watuachie ya Kaisali na ya Mungu tunakuwa tushayamaliza kanisani, kinachoudhi zaidi wanachukua michango yetu halafu wanatuchagulia cha kutumia, ile michango siyo hela yao, nakuwa nimetoam mimi na wala hoja ya kusema wananua wao si sahihi. Kama wanasimama kwenye imani yao basi wasichangishe pesa zetu bali watumie zao na sisi tutakuja kunywa soda na juice kama wanavyotaka na siyo mchango wangu wa pesa waupangie cha kuninunulia.
inakuwa kama vile bia wanatuninulia wao wakati ni michango yetu bhana.
Harusi za kisabato zimekuwa za kero kubwa, wanasema hawataki kuweka vinywaji vyenye alcohol kisa imani yao, hawajui kama hayo mambo yanzuiwa kanisani tu, mkitoka kanisani huku kwingine ukumbini ni kwa Kaisali lazima watuachie ya Kaisali na ya Mungu tunakuwa tushayamaliza kanisani, kinachoudhi zaidi wanachukua michango yetu halafu wanatuchagulia cha kutumia, ile michango siyo hela yao, nakuwa nimetoam mimi na wala hoja ya kusema wananua wao si sahihi.
Kama wanasimama kwenye imani yao basi wasichangishe pesa zetu bali watumie zao na sisi tutakuja kunywa soda na juice kama wanavyotaka na siyo mchango wangu wa pesa waupangie cha kuninunulia.
sio wasabato tu, cha muhimu kabla ya kuchanga unauliza aina ya vinyaji kama ni soda na juice ninatoa mchango wake na kama kuna alcohol natoa mchango wake. Hapo kutakuwa hakuna kulaumiana.harusi za kisabato zimekuwa za kero kubwa, wanasema hawataki kuweka vinywaji vyenye alcohol kisa imani yao, hawajui kama hayo mambo yanzuiwa kanisani tu, mkitoka kanisani huku kwingine ukumbini ni kwa kaisali lazima watuachie ya kaisali na ya mungu tunakuwa tushayamaliza kanisani, kinachoudhi zaidi wanachukua michango yetu halafu wanatuchagulia cha kutumia, ile michango siyo hela yao, nakuwa nimetoam mimi na wala hoja ya kusema wananua wao si sahihi.
Kama wanasimama kwenye imani yao basi wasichangishe pesa zetu bali watumie zao na sisi tutakuja kunywa soda na juice kama wanavyotaka na siyo mchango wangu wa pesa waupangie cha kuninunulia.
nadhani basi muwe mnaandika condision kwenye card za mchango ili mtu ajue kwamba anachanga na anakuwa guided na vitu fulani kwenye harusi.pia kama unatoa kwa moyo toa kwa moyo si kwaajili ya milo ndio unalalamika sana.bia si neccesity so inaweza sababisha kuvunjiana heshima kwenye sherehe.kuna harusi noja watu walilewa mpaka wakamwaga radhi mbele ya watu wazima. ''ULEVI HAUKUBALIKI",POMBE SI NECCESITY,PIA najua mtajitetea kwamba mnakunywa kistaarabu ,lakini mwishowe mnaishia kulekule:nono:Ntuzu hawa jamaa nadhani wana lao juu ya usabato kwa mwaka huu. Au ndo maandalizi ya .... yanaanza kufanywa ili muda ukifika kila mmoja awe ameaminishwa kuwa wasabato ni ....