Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,836
- 9,891
Okaynasikia mabinti wao hawatoboi masikio
HahaaWanapenda mapenzi kwa mbali
HahahaaKesho Eid na Sabato sambamba
Wajumapili wakae kwa kutulia kidogo
OkayNasikia wanatumia vitu natural ndo maana kwaya zao zipo vzuri
Sijakataa uwepo wa vipaji makanisani na misikitini, ninacho sema ni kwamba wasabato ni extraoldinary, mimi ni mwalimu wa kwaya ila nakiri kuwa hawa watu wametuzidi mbali sana kwenye uimbaji ingawa kwenye uchezaji wa vyombo vya muziki kwa kutumia noti tumewazidi mbali.Mkuu umekuja kuwapigia promo, mbona vipaji vya kuimba vipo makanisa yote.
Ooh. Utakuwa hujawai hudhuria kanisa la AIC.. HAWA JAMAA HAWA!! SPIKA ZINAZIDI THAMANI YA JENGO LA KANISA NA UIMBAJI SI WA MADAHA KIVILE.Mkuu umekuja kuwapigia promo, mbona vipaji vya kuimba vipo makanisa yote.
Mimi sio msabato, ila kwenye suala la kuimba, wasabato hawana mpinzani. O'level ilikua ikifika muda wa kipindi cha dini, kila dhehebu linaimba nyimbo zao, ila wakianza kuimba wasabato, nyinyi wengine lazima mjiulize "hivi tuko serious kweli?"Mkuu umekuja kuwapigia promo, mbona vipaji vya kuimba vipo makanisa yote.