Wakristo wote siku ya kuabudu ni jumapili sasa nyie hii jumamosi yenu mlitoa wapi?
Ulisema unataka kuchambua uroma, ndiyo maana nkakwambia wasabato hamuwawezi waroma hata kidogo, kwanza sabato ni dini ya hivi karibuni tu lakini uroma...Kushindana kivipi?
.
Yesu hakuwa na dhehebu wala hapajawahi kuwa na nabii aliyetokana wala kuanzisha dhehebu lolote. Kulikuwepo na madhehebu ya mafarisayo, mazadukayo, Zeelote, othodox, Rc, angelikana, Lutheran na sasa haya ya kipentekoste yaliyo mlengi kama utitiri hakuna nabii aiyewahi kuwa wa lolote katika hayo. Au kama kuna mwenye ushahidi wa nabii yeyote wa kibiblia kuanzia Nuhu, Abraham, Daudi, Yeremia, Ezekieli, Isaya, Daniel, Malaki, Yohana, Petro , Paulo ama Bwana Yesu kuwa mwanachama wa mojawapo ya hayo, atupe. Na ni lipi kati ya yote?
.
.
Ulisema unataka kuchambua uroma, ndiyo maana nkakwambia wasabato hamuwawezi waroma hata kidogo, kwanza sabato ni dini ya hivi karibuni tu lakini uroma...
Fuatilia habari vizuri, hao si wasbato wa aina yoyote ile. Wasabato hawajui siku wala saa.hawa wasabato hata hawaeleweki..wanakengeuka kila leo mara walianza kusambaza vipeperush mwaka juzi wakisema.22/5/2012 ingekua mwisho wa dunia ilivopita wakasema walikesha na kuomba Mungu akasamehe mwaka jana tarwhe 14/5 wakasema tena ni mwisho wa dunia ikapita.tena..duu sasa sijui tuwaeleweje..si hawa waliotaka kwenda kuhubiri injili Asia na Ulaya bila Visa wakajazana Airport kipind fulani? leo wanakataza watoto kusoma" hizi dini na madhehebu vitatoa watu roho..
hawa wasabato hata hawaeleweki..wanakengeuka kila leo mara walianza kusambaza vipeperush mwaka juzi wakisema.22/5/2012 ingekua mwisho wa dunia ilivopita wakasema walikesha na kuomba Mungu akasamehe mwaka jana tarwhe 14/5 wakasema tena ni mwisho wa dunia ikapita.tena..duu sasa sijui tuwaeleweje..si hawa waliotaka kwenda kuhubiri injili Asia na Ulaya bila Visa wakajazana Airport kipind fulani? leo wanakataza watoto kusoma" hizi dini na madhehebu vitatoa watu roho..
Mkuu nitakujibu kidogo ktk hili Kwani niko mbali na vielezo vingi!
Ktk kitabu cha Yohana 14:15 Yesu anasema mkinipenda mtazishika sheria zangu!
Na ktk ufunuo 14:12 Tunaona Yesu kupitia Yohana anazungumza tena juu ya subira ya watakatifu Na hakuacha kugusia sheria Zake!
Sheria za Mungu ziko ktk kitabu cha kutoka 20 na Hapo ktk amri ya 4 ktk mstari Wa 8-11 kunazungumziwa juu ya sabato!
Kwahiyo Yesu alikua ni msabato ktk Imani yake!
baki na dini yako sawa na ndio maana tunasema mungu sio mmoja mungu wangu mimi ana mtoto naye ni YESU ..mwokozi ..
UJINGA WA MASABATO MATENGENEZO haubadilishi huu UKWELI HUU mungu wako si sawa na mungu wangu .. nukta..
si kwamba nina chuki ndugu..nina hasira maana hawa wasabato nao ni shina la ukristo sasa wanaaibisha wakristo kusikia wanakataza baadhi ya mambo ambayo ni kama wanaenda kinyume na.maandiko kwani hata bible inasema " Mshike sana Elimu....kwani elimu ni uzima wako" halafu sikuelewa kama yapo madhehebu tena ndani ya wasabato..ningeshukuru kama ungeyataja na tofaut zake ili tusiwashutumu watu kwa jumla yao..Nadhani unaandika ukiwa na chuki, wasabato wa dhehebu gani unaowaongelea maana Umekuwa to general, badala ya kuwa specific.
Mkuu nilimwambia vile Rafiki Yangu tedo km tuuchambue uroma kutokana na kauli Zake za zarau juu ya wasabato! Ndio Maana nikamuuliza km yuko tayari tuichambue Imani yake!
Nikija ktk hoja yako! Naelewa Kua hua mnasoma biblia sn, mbali ya sabato kuwepo tangu Eden, Tunaona wakati Yesu alipokuwepo hapa Duniani ktk Siku ya sabato aliingia ktk masinagogi na kufundisha! Hapo utaona sabato sio km imeanza hivi Karibuni km ulivyoseama!
Na ndugu zangu nyie Hilo fungu la Yesu kuingia ktk masinagogi hua mnalijengea hoja na kudai kwamba Yesu alikua ni Wa Imani yako!
si kwamba nina chuki ndugu..nina hasira maana hawa wasabato nao ni shina la ukristo sasa wanaaibisha wakristo kusikia wanakataza baadhi ya mambo ambayo ni kama wanaenda kinyume na.maandiko kwani hata bible inasema " Mshike sana Elimu....kwani elimu ni uzima wako" halafu sikuelewa kama yapo madhehebu tena ndani ya wasabato..ningeshukuru kama ungeyataja na tofaut zake ili tusiwashutumu watu kwa jumla yao..
Hebu ndugu.Ntunzu.. nithibitishie kuwa sabato ni siku ya jumamosi..maana nyie tu katika madhehebu yote ya kikristo ndiyo mnasali siku ya jumamosi...
Nadhani baadhi nimeshayataja humu, lakini narudia tena. Kuna SDA, kuna sabato masalia, kuna sabato matengenezo, tanganyika sabato n.k. Tofauti ni kwamba, kuna ambao ni wapingaji wa kanisa la kwanza(SDA) na wanaompinga(walijiengua toka SDA).
Hapa tunakusoma wengi, sio vizuri kupotosha umma. Yesu wa Nazareti hajawahi kuwa muamini wa dhehebu la sabato. Wote tunajua, wewe inclusive, kuwa alikuwa muamini wa Dini ya Kiyahudi, maana alizaliwa akawakuta wazazi wake ni waamini wa dini hiyo, akalelewa na kupata makuzi ya kidini, katika dini hiyo ya Kiyahudi. Ushahidi uko wazi soma Vitabu vya Injili ya Yesu KristoMkuu nitakujibu kidogo ktk hili Kwani niko mbali na vielezo vingi!
Ktk kitabu cha Yohana 14:15 Yesu anasema mkinipenda mtazishika sheria zangu!
Na ktk ufunuo 14:12 Tunaona Yesu kupitia Yohana anazungumza tena juu ya subira ya watakatifu Na hakuacha kugusia sheria Zake!
Sheria za Mungu ziko ktk kitabu cha kutoka 20 na Hapo ktk amri ya 4 ktk mstari Wa 8-11 kunazungumziwa juu ya sabato!
Kwahiyo Yesu alikua ni msabato ktk Imani yake!
hahaha umenchekesha mpaka baas..kumbe ndo mnavodanganyana ati.Yesu alikua msabato? nani aliwathibitishia kuwa sabato ni siku ya Jumamosi? mbona sasa hamuamini kama alizaliwa na kusherehekea sikuukuu yake? unajua kuwa Yesu alikula nyama pia? na hata kunywa divai? je kama ni wa imani ya sabato nanyi mnafanya hivi? hizo sheria unazozisema za.kutoka unazielewa vyema wewe? sheria.zilizotolewa n Mungu kwa.waisrael kupitia.Musa wala hazihusiani.na.kusema Yesu ni msabato wala hakuna andiko lilolosem Yesu ni.msabato acha kupotosha watu..