jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,689
- 41,849
Wasabato kazi yao nikusubiri RC ieneze injili wao waje nyuma nyumba kuipondea RC ili wavune kwenye kapu la RC,wasabato ni wana ujinga na upumbafu mwingi sana,wao ukatoliki ndio adui yao kuliko hata shetani.
Mpinga kristo ni yule asiyemtangaza kristo,unamwitaje RC mpinga kristo wakati ndio kanisa pekee linalofanya umishonari hadi maeneo hatari kabisa humu ulimwenguni ili kueneza injili na ndio kanisa lililohifadhi na kuulinda ukristo karne na karne.
Wasabato mjitafakari,EG White pamoja na mafundisho yake hili aliwapoteza.
Muwe na JPL njema.