Umeiba hiyo nsfasingoja warudisha chenji waje wajibu shutuma
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu una sehemu umevurugwa si bure kwa kawaida pesa kubwa huonekana haraka so huwa wanatafuta ndogo halafu kubwa hufuata nadhani ndiyo maana mpangilio unakuwa tofauti ha ha ha haInawezekana ila wananitisha kwa nini kila mrudisha cheji ananijaribu? Mimi sijaribiwi....ha ha haaa
Ha ha haaa kwa uzoefu wako hii inawezekana, na huu ukata sisi wengine tumezoea ndogo inakuwa juu ili tuwahi kuitumia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu una sehemu umevurugwa si bure kwa kawaida pesa kubwa huonekana haraka so huwa wanatafuta ndogo halafu kubwa hufuata nadhani ndiyo maana mpangilio unakuwa tofauti ha ha ha ha
Kweli kabisa. Mambo mengine ya kizee. Itakuwa anajua maana guys Mwana si kwa kuchunguza hukoWe jamaa unazeeka vibaya