Warning

nina boksi la ndomu fanya mambo namba zake nipate dollaz maana majimama ya bongo wabahili mbaya sana
 
Kwani wadhungu hawatumii dume? Ama ndo nguvu ya pesa?

Kuacha ni impossible. Wamama wa kidhungu ni dili arusha kama ilivyo dar na wababu wa kidhungu.
King'asti umenena manake kuna kipindi nilimkuta mahali kijana wa kitanzania ni sex slave jimama la kizungu limemtoa Tanzania huko kwao kamfanya sex slave hatoki, hadi passport mama kaficha anamletea hadi mashoga zake kaka awaridhishe
Kingono.... Na nyie kaka zetu mkome kupenda kulelewa na mijimama ya kidhungu kisa pesa...... Jamaa alikuja kurudi bongo ila mbona alikoma!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha nanyie muache kutubania ili tusiwafate

hatuwabanii ila dezodezo,vijana wengi wanataka utajiri bila kuufanyia kazi,acha mabibi wa kidhungu wajisevie tu haina shida!
 
nina boksi la ndomu fanya mambo namba zake nipate dollaz maana majimama ya bongo wabahili mbaya sana

Jipu hujipendi eee,haya ukipewa namba zake naomba uniambie ili niwape taarifa kwenu wajiandae na msiba
 
asante kwa adress,me ninao ngoja tuka share nae
 
haya vijana nafasi za kazi hizo, msibweteke.
 

Boraaa umesemaa maana juzi kati tu hapa tuko maeneo vijana wanajipanga tena kwa zamu kumuwindaa! jimama lenyewe umeliona sura hana,ngozi inatisha ila hawa korianga wadogo na nyangulo wanamtetemekeajeee! Aisee tuangalie hii mambo ooohooo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…