Tena anapenda wenye rasta kama wewe. Nadhani wewe ni mmoja wao. Kapime!kwa wale machali wangu wa arusha,kuna jimamaa la kizungu jina kapuni viwanja vyake alihamis via via jmosi masai na j2 jioni utalikuta la fiesta ppf,jimamaa lina penda vijana mbaya,na mashaka ni mgonjwa ana tembea na vijana watano hadi sita kwa siku lina hela mbaya na linahonga vibaya.nashindwa kuelewa ni ugumu wa maisha au nikupenda bwerere vijana wengi wa arusha wanatega wazungu tu...asilimia kubwa ya wazungu ni H.I.V POSTIVE kule kwao wamesha wastukia so wanakuja africa kutafuta vijana wa kufa nao....OGOPENI WAZUNGU WA VIA VIA
Uwiiii.......nakuja Dar......huku Chugga vibabu vigumu sana kuvipata.....na nataka nianze matumizi ya Obagi......bila kibabu wakwetu itakula kwangu......
,sijawahi kuitamani ngozi nyeupe. Nachoka kabisaaaaaaaaaa!
Hebu kwenda zako unaleta mada za kivumi zaidi hazina prove usifikili UKIMWI ni kama chogo kila mtu analiona hata wewe unaejiona mtulivu unaweza kuathirika.Daaamn....
kazi kwa wafuga rasta maana hawa wazungu wamezidi kutuchukulia vijana wetu!
Hebu kwenda zako unaleta mada za kivumi zaidi hazina prove usifikili UKIMWI ni kama chogo kila mtu analiona hata wewe unaejiona mtulivu unaweza kuathirika.Daaamn....
nenda first and left sakina.....
nenda first and left sakina.....