LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,468
- 814
Weka solution tutumie flash gani?
Imation,sanDisk, naona wapo njema sana kwa uzoefu wangu sijui wenzanu.
Weka solution tutumie flash gani?
Kweli kabisa kiongozi.Kwangu mimi Flash bora ni yenye hivi vigezo viwili
- Imation
- Sandisc
Kuna hizi flash za ADATA, kingstone na baadhi ya transend hazina sifa na.2,
- Uweze kui_format katika NTFS file system
- Pia ikubali kutumika kama Bootable USB/HDD ili kufanya instalation ya windows
Imation,sanDisk, naona wapo njema sana kwa uzoefu wangu sijui wenzanu.
Kwangu mimi Flash bora ni yenye hivi vigezo viwili
- Imation
- Sandisc
Kuna hizi flash za ADATA, kingstone na baadhi ya transend hazina sifa na.2,
- Uweze kui_format katika NTFS file system
- Pia ikubali kutumika kama Bootable USB/HDD ili kufanya instalation ya windows
Natumia ADATA na inapiga poa tu, toka mwaka 2011
GB 8 na haijapungua
Natumia ADATA na inapiga poa tu, toka mwaka 2011
GB 8 na haijapungua
- Je umeshawahi itumia kufanya installation ya windows?. Kwangu sijawahi fanikiwa kwa kutumia ADATA.
Sikubaliani na suala la hizi flash kuathiriwa na virus kirahisi....but kiukweli ni moja ya brand zenye fake nyingi na ndio zilizopo mtaani kwa kiasi kikubwa. Na matatizo ambayo nimeyaexperiance ya hz flash haswa zenye ukubwa wa kuanzia 8GB moja ni kucorrupte kwa file haswa unapohamishwa kutoka pc moja kwenda nyingine haswa video na software, pili ni kusumbua kuhamisha vitu. Na moja la maajabu kabisa nililokutana nalo wiki hii, nilikuwa na flash aina hii ya 8GB, nikaiweka linux ili iwe bootable but baada ya kumaliza kazi yangu, kuifomart hii flash imeshuka imekuwa 689MB