"...Na mostly zinakuwa attacked na virus kirahisi sana !"
SIYO KWELI
chumvi, flash feki haiwezi kuwa attacked na virus kiurahisi zaidi.
Sikubaliani na suala la hizi flash kuathiriwa na virus kirahisi....
but kiukweli ni moja ya brand zenye fake nyingi na ndio zilizopo mtaani kwa kiasi kikubwa. Na matatizo ambayo nimeyaexperiance ya hz flash haswa zenye ukubwa wa kuanzia 8GB moja ni kucorrupte kwa file haswa unapohamishwa kutoka pc moja kwenda nyingine haswa video na software, pili ni kusumbua kuhamisha vitu. Na moja la maajabu kabisa nililokutana nalo wiki hii, nilikuwa na flash aina hii ya 8GB, nikaiweka linux ili iwe bootable but baada ya kumaliza kazi yangu, kuifomart hii flash imeshuka imekuwa 689MB
Weka solution tutumie flash gani?
"...Na mostly zinakuwa attacked na virus kirahisi sana !"
SIYO KWELI
Nakubaliana na wewe. Ni juzi tu dogo mmoja alinifanya nicheke maeneo ya kariakoo kwa hiivkauli yake nanukuu. " KAKA USINUNUA HIYO MEMORY CARD YA GB 1 INAINGIZA VIRUS SANA, WE NUNUA YA GB 2 HIYO NDO YENYEWE HAIINGIZI VIRUS KABISA" mwisho wa kunukuu.
Back to topi
>> flash nzuli ni hizi za imation.
Weka solution tutumie flash gani?