Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.WARNING TO ALL MEN!!...
1 Brazilian hair = 68 bags of cement
1 Handbag = 10 Tankers of water
1 Quality shoe = 1 Trailer of sand
1 iphone 5 = 6500 Blocks
Just these are enough to build a 2-
bedroom
flat. LADIES PLEEEEEEEEASE let your
boyfriends
be LANDLORDS this year!
nafikiri nimeeleweka....
Safi sana kijana, ponda maisha kufa kwaja!!sijaona gharama hapo so long nampenda na naenjoy nikiwa naye naweza fanya thrice as much...!
Safi sana kijana, ponda maisha kufa kwaja!!
sijaona gharama hapo so long nampenda na naenjoy nikiwa naye naweza fanya thrice as much...!
Lini utanichuna asee? Mi nshajenga sina cha kupoteza:typing:si ndo hapo!!
We mdanganye wakati mwenzio hata kagari ka mkopo hajanunua.nyie ndo mnaotakiwa big up
Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.
Na hivi vibinti Heaven on Earth, Munkari, Madame B, Paloma, miss chagga, lara 1 Husninyo, badiebey et el,
muyaache haya mabazazi Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel yajenge.
Habari hizi njema ziwafikie King'asti, Mtambuzi, Kaizer, Dark City KakaKiiza Kaunga na jumuiya nzima ya wazazi.
Jenga nyumba ndo uweke heshima bar!! Nunua gari upaki nyumbani kwako.
acha ubahili wewe tafuta pesa tutumie ....kwani miaka yako yote utakuwa unajenga?
Tumia hela ikuzoee wewe.
Ubahiri tu !! Utakufa afu unaacha vyote ukose hata wakukulilia msibani !! Loh!
nyie ndo mnaotakiwa big up
Mbaya ni pale unaishi hadi unatolewa nje kwa mkeka. HahahahaUbahiri tu !! Utakufa afu unaacha vyote ukose hata wakukulilia msibani !! Loh!
nilijua ungemwambia atafute pesa unamsapoti tena... mwaka wa ujenzi nitampa break akimaliza ujenzi kazi inaendeleaUmeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.
Na hivi vibinti Heaven on Earth, Munkari, Madame B, Paloma, miss chagga, lara 1 Husninyo, badiebey et el,
muyaache haya mabazazi Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel yajenge.
Habari hizi njema ziwafikie King'asti, Mtambuzi, Kaizer, Dark City KakaKiiza Kaunga na jumuiya nzima ya wazazi.
Jenga nyumba ndo uweke heshima bar!! Nunua gari upaki nyumbani kwako.
Lini utanichuna asee? Mi nshajenga sina cha kupoteza:typing: