SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Saa sita na dakika kumi leo tarehe 13 jumapili 2022 walipost hii habari (picha ya kwanza), lakini immediately wakaifuta na kupost hii (picha ya pili).
Lengo likiwa ni kupotosha ukweli dhidi ya shambulio la urusi katika kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyo kilometa 20 kutoka mpaka wa Poland, ambapo katika taarifa ya pili Reuters wanadai kulikuwa raia wa poland katika kambi hiyo, Jambo ambalo sio kweli.
Idaiwa watu wapato 35 wanaropotiwa kufa na wengime zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Ikumbukwe kuwa Poland ni nchi mwanachama wa NATO. Hivyo upotoshaji huu wa Reuters unaweza pelekea vita kati ya Urusi na nchi za NATO.
Nitoe rai kwa waandishi wetu wa habari ambao wengi wao ni "makanjanja" kuwa makini katika kutafuta habari maana wanaweza jikuta wakipotosha wananchi.