Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,007
- 1,113
Most likely from hell
Hizi ni hukumu za mungu alizotuwekea wanadamu, na mungu hakosei kwa asemalo, sheria hizi zikisimamiwa kifasaha hakutakuwa na maasi duniani, kama sio kupungua. Unaposema neno la mungu ni baya ina maana hata wewe mungu alikosea kukuumba labda, mambo ya imani ni mazito