WARNING: ISIS barbarians chop off a thief's hand

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
36C45F0600000578-0-Sickening_pictures_show_the_moment_ISIS_thugs_maimed_a_thief_for-a-17_1470038333966.jpg

Sickening moment ISIS barbarians chop off a thief's hand with a meat cleaver in front of a baying crowd
 
Inawezekana wanatekeleza sheria walizojiwekea wenyewe. Kwahiyo mtu anayekiuka anafanya hivyo akijua kabisa atakumbana na adhabu gani.
Wao ni wasafi kiasi gani? Wao ni wakamilifu kiasi gani? Pamoja na hilo lakni huko kuna something very wrong
 
Inawezekana wanatekeleza sheria walizojiwekea wenyewe. Kwahiyo mtu anayekiuka anafanya hivyo akijua kabisa atakumbana na adhabu gani.
Nope! Ni wakulima wazuri wa dawa za kulevya. Lazima wanatumia na zinawaendesha kufanya vitu kinyume na utu. Hii fact huwa inafumbiwa macho.
 
Hizo ni sheria ya kiislamu hasa kipindi hiko ambapo hapakuwa na Mahakama ila sasa kuna mahakama nataratibu zengine sijasema sheria za kiislamu zisifuatwe ila come on its 21century
 
Hizo ni sheria ya kiislamu hasa kipindi hiko ambapo hapakuwa na Mahakama ila sasa kuna mahakama nataratibu zengine sijasema sheria za kiislamu zisifuatwe ila come on its 21century

21st Century inakataza watu kufanya wanachokiamini
 
Actually sheria za dini zote ni za ajabu ajabu tu.. Especially the big sisters (Judaism, Islam, and Christian).. Its just who is insane at what era..
Ukirudi huko nyuma kipindi cha midival Christian was the big sister controlling major cities and things like witch burning or crucifixion was a normal thing to see..
Its just watu wanasahau tu...

Come to the topic hao jamaa ndo wanatekeleza maono ya Quran kabisa.. Hawa wengine kama bakwata nk. hata pepo pamoja na mabikra 72 hawatasikia harufu yake...
 
Sharia law is outdated. Those who practice it are centuries behind the rest of the world basi tu pesa na utajiri wa mafuta wa nchi nyingi za kiarabu unafaya watu wa-overlook haya yanayotendeka. Muslims when confronted always say Islam is a religion of peace to which I agree , in theory it should be bt kweli mtu kuiba tu ndo ukatwe kidole wakati magaidi wengi wanoua innocent people caught in the crossfire kila kukicha are considered heroes by most?? Kweli Hata sijui tufanyaje tuu tuishi kwa amani as people..!
 
Back
Top Bottom