Utu umekwisha, umebakia unyama
ccm ndio imesababisha yote haya
Ulikwishawahi kuonja machungu ya kuibiwa?
Wanalipwa mshahara wa kuzuia mikutano ya CHADEMA na kukamata wafuasi wa CHADEMA.Juzi mgogoro wa ardhi watu 5 wameuwawa kwa kupigwa na "wananchi wenye hasira"
Inasikitisha kuwa sasa uhai wa mtu hauna thamani hata kidogo Tanzania hii. Polisi wanalipwa mshahara wa kazi gani?
Mkuu umeshawahi kusikia kama gari yako imewashwa.......na ukaangalia dirishani ukaona ileeee inakata kona???!!!Umeshawahi kuonja machungu ya kuadhibiwa wakati hujafanya kosa? Na adhabu yenyewe iwe kifo.
Uchubgu wa kuibiwa hautoi mamlaka ya kuua, Never ever?????
Mkuu umeshawahi kusikia kama gari yako imewashwa.......na ukaangalia dirishani ukaona ileeee inakata kona???!!!
umeshawahi kuwa unarudi home, una alfu tano tu na huna hela ingine, hata ya kula kesho, na ukapewa roba, watu wakachukua hiyo buku 5, then wakakutandika mabapa kwamba mwanaume mzima unatembea na buku tano tu??
Mkuu.......wezi/vibaka/majambazi/wanyang'anyi sio rafiki zangu.........akiniibia na kumuona yeye ndo ananiibia, haijalishi, nikimpatia timing nammwaga utumbo fasta.
Nikikuta mtu anapigwa na random people na hakuna jinsi ya kuhakiki kwamba ni kibaka, sitampiga wala kunyanyua mkono wangu.
hapa sasa mkuu ndo umeharibu wikiend yangu sio siri. Mambo mengine yanatia huzuni sana, khaaaaa!
unachoongea ni kweli lakini hawa jamaa washawahi kukuibukia wewe ukiwa an mkeo na mwanao wa kike? utapona?This is too much aisee hata kama kaiba nini thamani ya utu na vitu vitu vinaweza patikana lakini utu haupatikani tena.Si wote wanaiba wanapenda watu wana matatizo wandugu inawezekana hapo alikuwa na mgonjwa hospitali kwa hiyo alikuwa anatafuta hela ya kulipa.Anyway watanzania napenda washauri hata kama una matatizo kiasi gani jaribu kuomba kwa mtu yeyote wapo watu wenye moyo watakusaidia kwani kuiba unahatarisha maisha yako watu wamechoka aisee watakuua