[WARNING] DIGUSTING AND DISTURBING IMAGES: Never Sleep In The Jungle

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
image005.jpg

image007.jpg

image008.jpg
 
nasikia kuna mtu alikua kalala akasikia anavutwa,kushtuka akaona ni nyoka anammeza kuanzia pande za miguu,akackomoa kisu taratibu afu akaanza kumchana nyoka kadri alivkua anamezwa,luckily alisurvive na nyoka alikufa sema alikua na diferent colour sehemu yote iliokua imemezwa,the place where it took place is kilimanjaro
 
Mh! alikuwa na rangi gani
 
Mbona mtu mwenyewe anaonekana mweusi ukilinganisha na hao waangaliaji? na isitoshe kimo chake nacho naona kama tofauti pia!!!!
 
weusi umetokana na sumu ya huyo chatu, imemwingia jamaa na akachange colour yake toka weupe mpaka kuwa kama wa hudhurungi vile.,!!
So sady indeed sijui alikuwa chatu kweli au ANACONDA.,.!!
 
Back
Top Bottom