Joseph Hill named his son "Kenyatta" ,there is a song Harambee by Rita Marley ..Jamaicans just love Kenyans not something small as u think infact they dont know who the hell Magufuli is or even what Tanzania isWarm welcome kwa sababu ya Uhuru Kenya au sababu ya Raisi wa Kenya? Unafikiri ungekuwa wewe in Raisi wa Kenya Jamaika wangekunyima ,, warm welcome“ ?
Joseph Hill named his son "Kenyatta" ,there is a song Harambee by Rita Marley ..Jamaicans just love Kenyans not something small as u think infact they dont know who the hell Magufuli is or even what Tanzania is
I told you kenya nad Jamaica has that thing u cant explainOhh kumbe ni TZ vs Ke ? Sikulijua hilo nilifikiri ulishindwa kuelewa kwa nini Raisi wa nchi ya Kiafrika anapewa ,,warm welcome“ , jambo ambalo ni kawaida kwa nchi za Kikaribiki zenye watu wenye asili ya Afrika!
I told you kenya nad Jamaica has that thing u cant explain
Hata "Burning Spear" amejiita jina hilo kufuatisha tuzo ya Kenya chini ya Jomo Kenyatta.The Rastafarian movement was partly inspired by the MauMau That's why they kept dreadlocks
Watu wengi huwa wanadhani kwamba mtindo wa kusokota nywele, almaarufu kama 'rasta', uliibuka kwa waumini wa Rastafari kule Jamaica. Wao wenyewe waliiga mtindo huo miaka ya 1950's kutoka kwa Mau Mau, kikundi cha wakombozi ambacho ndio kilikuwa 'inspiration' kuu ya 'warasta'.The Rastafarian movement was partly inspired by the MauMau That's why they kept dreadlocks
Jina Jomo ndio linamaanisha burning spear kwa kikikuyu.Hata "Burning Spear" amejiita jina hilo kufuatisha tuzo ya Kenya chini ya Jomo Kenyatta.
Sikujua hili, asante kwa kunifahamisha.Jina Jomo ndio linamaanisha burning spear kwa kikikuyu.
Wacha kujidanganya aise ,unajua vizuri sana pia Tanzania mngependa sana kufahamika na kuigwa na wengi huku African diaspora ya Americas and the Caribbean countries.Ohh kumbe ni TZ vs Ke ? Sikulijua hilo nilifikiri ulishindwa kuelewa kwa nini Raisi wa nchi ya Kiafrika anapewa ,,warm welcome“ , jambo ambalo ni kawaida kwa nchi za Kikaribiki zenye watu wenye asili ya Afrika.
Kuhusu Magu, Watanzania wanamfahamu hata Wakenya pia wanamfahamu, Raisi Uhuru Kenya alikuwa TZ akaturudishia dhahabu yetu, na hiyo inatosha sidhani kama Magufuli anajali kama Jamaika wanamjua au lah, sidhani kama ni mtu type hiyo.
I've seen many American girls named Kenya and a bunch of black people in the western world named Kenyatta .Isitoshe pia kule Disneyland kuna train station inaitwa "Nairobi Railway station' . For our Tzedian competitors i've never seen Americans naming themselves Nyerere au train station named Dar station.Joseph Hill named his son "Kenyatta" ,there is a song Harambee by Rita Marley ..Jamaicans just love Kenyans not something small as u think infact they dont know who the hell Magufuli is or even what Tanzania is
Wacha kujidanganya aise ,unajua vizuri sana pia Tanzania mngependa sana kufahamika na kuigwa na wengi huku African diaspora ya Americas and the Caribbean countries.